Habari za Punde

*MAONYESHO YA SABASABA KUFUNGULIWA NA RAIS WA BRAZIL

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kuendeleza Biashara Tanzania, Ramadhan Khalfan, akizungumza na waandishi wa habari leo, kuhusu ufunguzi rasmi ya maonyesho ya Sabasaba, yanayotarajiwa kufunguliwa Julai 2 na Rais wa Brazil, Da Silva.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.