Habari za Punde

*WENYE MADUKA TUZINGATIE MAANDISHI YANAYOTAMBULISHA BIASHARA ZETU

Eti jamani, naomba kuuliza, iwapo atatokea mteja katika duka hili na kuomba apimiwe kilo moja ya Nyama au samaki, hawa jamaa watamfa nini?, cha kushangaza duka hili linauza Tv, Redio, Deki na vitu vingine wenyewe husema duka la 'USED', kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto katika Mtaa wa magomeni Morocco Hoteli jijini Dar es Salaam leo, washkaji wakisubiri wateja sasa sijui wanasubiri wateja wa Tv au Nyama na Samaki??????, kwani kama unavyoona duka hilo likiwa na tangazo tofauti na bidhaa inayoonekana dukani hapo, JAMANI WENYE MADUKA TUWE MAKINI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.