
Kati ya hawa madereva hakuna hata mmoja mwenye haki ya kupita hapa, kila mmoja alikuwa akivunja sheria za usalama barabarani kwa kukatiza ama kupanda ukuta wa bustani ya barabara Kilwa badala ya kufika katika Utan kwa kuona mbali, kwa bahati mbaya wakati dereva mmoja anawaza kuvunja sheria na mwingine tayai alishawaza vivyo hivo, kilichofuata walikutana uso kwa uso huku kila mmoja akimtaka mwenzake kurudi nyuma ili yeye apite mpaka mmoja alipoamua kupanda zaidi katika bustani. Sasa namna hii kweli barabara, bustani na mandhali ya mji itakuwa kama miji ya wenzetu????????
No comments:
Post a Comment