
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Makao Makuu iliyopo posta ya zamani jijini Dar es Salaam, wakirudi ndani ya benki hiyo kuendelea na kazi baada ya kuwa wametoka nje kukimbia ajali ya moto uliokuwa umetokea ndani ya benki hiyo kutokana na hitilafu ya umeme. Picha ndogo ni magari ya zima moto yaliyofanikisha kuzima moto huo leo.

Wakirejea kuendelea na kazi....................

Askari wa zima moto wakiwa bize kutoa vifaa vya kuzimia moto katika gari lao ili kufanikisha kuzima moto ulionza kuwaka kwenye benki hiyo ambao umeelezwa umetokana na hitilafu ya umeme.

Wafanyakazi hao wakiwa nje ya benki hiyo wakisubiri mambo kuwa shwari.....

Haya ni magari yaliyofika kutoka msaada ya kuzima moto huo yakiwa 'Atantion' mahala hapo.....
No comments:
Post a Comment