Habari za Punde

*JK ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS, BARABARA ZAFUNGWA KUPISHA MSAFARA DAR

Msafara wa Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ukipita katika barabara ya Ohio na kuingia kwenye barabara ya Ghana yalipo Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kurejesha fomu ya urais leo mchana. PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.