Wanafunzi wa Shule ya Msingi Makumbusho Jijini Dar es Salaam, wakicheza mpira wa makarasi wakati wa muda wa mapumziko shuleni hapo. Wadau wa soka inabidi kuanzia huku katika kuandaa kina Ngassa wa kesho na si baada ya kuwaona tu wanang'ara kwenye nyasi bandia bila kuja walikoanzia, hebu angalia watoto hawa jinsi wanavyosakata soka la makaratasi bila viatu na kwenye uwanja wa vumbi...Basi na missada ya vifaa vya michezo ianzie huku ili kuwazoesha watoto hawa na kuinua soka la Bongo, kwani hata watoto hawa wakizoea kucheza mpira wa ngozi katika umri mdogo wanaweza kufanya vizuri watakapofikia umri wa kuonekana mbele ya halaiki ya watu. Wadau soka linaanzia Shinani si Kileleni..........
DKT. RWEZIMULA - ELIMU YA KATIBA NA URAIA ITACHOCHEA UZALENDO NA AMANI
NCHINI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
UFUNDISHAJI wa elimu ya Katiba na Uraia katika shule za msingi, sekondari
na vyuo vya mafunzo ya Ufundi Stadi itawezesha ki...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment