*Wauguzi wawachunia ndugu, wamshusha na kumkokota wenyewe kuelekea wodini...
Ndugu wa mgonjwa ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, wakihaha kumshusha mgonjwa wao kwenye gari aina ya Mitsubish Canter, baada ya kufika kwenye lango la kuingilia mapokezi katika Hospitali ya Wialaya ya Temeke Dar es Salaa leo mchana na kuona hakuna maelekezo wala msaada wowote kutoka kwa wauguzi waliokuwa wakipitapita tu eneo hilo bila dalili yeyote ya kutoa msaada. Wanandugu hao baada ya kuona hivyo mmoja wao alielekea ndani mapokezi na kuja na kigari hicho cha matairi na kuanza kupanga jinsi ya kumshusha na kumlaza mgonjwa wao katika kijitanda hicho ili kumuingiza ndani kwa ajili ya kupata huduma. Sasa kama hivi tu ni mgonjwa aliyefika na nduguze vipi anayekuwa hana ndugu ama amesaidiwa tu na wasamalia wema njiani si anaweza kufia nje ya hospitali hiyo???? Wakuu jipangeni bwana kuondoa kero hizi zisizokwisha kila kukicha.....
ASKARI POLISI MWIKWABE AKABIDHI KITI MWENDO KWA BINTI WA MIAKA 16
ALIYEPOOZA MWILI,ATOA NENO KWA WAZAZI
-
POLISI Kata ya Ikoma Tarafa ya Grumet Wilayani Serengeti mkoani Mara CPL
Emmanuel Mwikwabe amekabidhi kiti mwendo kwa mtoto Vaileth Enock(16)
mweny...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment