MKOBA WA NINI?
Afande wa kike, Mgambo wa Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam, akiwa kwenye doria mtaa wa Kongo huku akiwa na mkoba wake na kirungu tena na vazi la kazi haikuweza kufahamika sababu za mgambo huyo kuwa katika mavazi hayo huku akiwa na mkoba wake, sijui anaogopa kuibiwa huko mahala wanapobadilishia nguo ama ndo vile tena mambo flani huwekwa humo baada ya kuwapoka Machinga?
HALI YA MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA MKOANI GEITA
-
Hali ya Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kwa mkoa wa Geita imepungua kutoka
asilimia 4.9 ya mwaka 20121/2022 mpaka asilimia 4.3 ya mwaka 2025.
Hayo yame...
13 hours ago
No comments:
Post a Comment