Baadhi ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho na rafiki zao ndugu na jamaa zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu hicho yanayoendelea katika Viwanja vya Chimwaga chuoni hapo mjini Dodoma hivi sasa. Mtaletewa matukio ya mahafali haya baadaye.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment