BAADA ya kumsambaratisha, Amosi Mwamakula kwa pointi, katika pambano la raundi 6, bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' anajiandaa na pambano jingine na Patrick Anthony Kavako 'Baunsa' wa Morogoro, pambano la raundi 8 litakalofanyika katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Bungoni Juni 16.
Biashara : NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa wa Jijini Arusha
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka
kampuni, wateja binafsi na taasisi mbali mbali (Corporates) wa jijini
Arusha il...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment