Habari za Punde

*GODFREY MGIMWA APIGA KAMPENI KIJIJINI KWAO

 Mgombea Mgimwa, akiserebuka na Kinamama wa Makongati Kata ya Maboga
 Godfrey Mgimwa akiwasili kijijini kwao, Magunga, Kata ya Maboga, kufanya mkutano wa kampeni
 Bibi Consolata Semgovano ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Iringa Vijijini, Marehemu Dk. William Mgimwa, akisalimia mjukuu wake, mgombea wa ubunge wa CCM, katika jimbo hilo , Godfrey Mgimwa, mgombea huyo alipofanya mkutano wa kampeni Kijijini kwao Magunga. 
 Msanii wa muziki wa kiszazi kipya na filamu, Ummy Wenslaus 'Dokii'akifanya vitu vyke katika mkutano huo wa kampeni.
 Godfrey Mgimwa katika shamrashamra kijijini kwao, Makongati.alipofika kwenye mkutano wake wa kampeni kuomba kura.
Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.