Habari za Punde

*MVUA KUBWA NA UPEPO MKALI YAZUA BALAA DAR

Magari yakipita kwa tabu katika barabara ya Sinza Makaburini, kutokana na mti mkubwa ulioangushwa na upepo mkali uliotokana na mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana na leo.Kutokana na mti huo kuziba barabara hata wapita kwa miguu wanapata tabu kupita eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.