Habari za Punde

*MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MJINI UNGUJA.

 Baadhi ya Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo alipohudhuria katika Mkutano wa Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine  wakiwa katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani  katika mkutano wa Mabalozi wa CCM Wilaya ya Mjini Unguja,alipofika kuzungumza nao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi kwa Mikoa mitatu ya Unguja
 Baadhi ya Viongozi na Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini wakiwa katika Mkutano uliohutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja  (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Juma Faki Chum,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.