Bwa. Harusi Mwalimu, akinyweshana Shampeni na mkewe, Zeana, wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika usiku wa leo Desemba 12, 2015 kwenye ukumbi wa Water Front jijini Dar es Salaam. Maharusi hao walifunga ndo yao Desemba 10 mwaka huu.
Bw.Harusi, Mwalimu wakimvisha pete ya ndoa mkewe Zeana wakati wa sherehe hiyo.
Pia siku hii kwa Bw. Harusi Mwalimu ilikuwa ni historia ya kipekee kwani pia wazazi wake Bi. Mwanakombo Jumaa na Bw. Khalfan Kipanga ndiyo tarehe waliyofunga ndoa na hivyo na wao pia siku hii walikuwa wakitimiza miaka arobaini na usheikh ya ndoa yao, ambayo pia walifanyiwa bonge la saplaizi na kukata keki.
Bi Harusi akisebeneka kwa furaha na baadhi ya rafikize wakati wa sherehe hiyo.
Bw. Harusi na mkewe wakijiachia na sebene na baadhi ya rafiki..ukumbini hapo
Wakiwekewa Shampeini tayari kwa kugonga cheaaaaaaaazzzzz.....






No comments:
Post a Comment