Rais Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza na wafanyabiashara wa mahindi na wananchi katika soko la Mazao la Kibaigwa lililopo wilaya ya Kongwa, mkoa wa Dodoma leo asubuhi wakati aliposimama kwa muda sokoni hapo kukagua na kujionea hali halisi ya upatikanaji wa mazao na uhifadhi wa mazao sokoni hapo. Mwaka 2006 wakati w a ziara yake katika soko hilo Rais alitoa agizo la kutoanika mazao chini ili kulinda afya ya mlaji. Agizo hili limetekelezwa vyema na sasa mazao yanahifadhiwa vyema kuzingatia kanuni za afya. Picha na Freddy Maro
Rais Dkt. Jakaya Kikwete, akikagua magunia ya mahindi yanayouzwa katika soko la Kimataifa la mazao la Kibaigwa wilayani Kongwa,mkoa wa Dodoma leo asubuhi. Kwa mujibu wa uongozi wa soko hilo katika kipindi cha miaka sita kuanzia 2004 hadi 2010 soko hilo limeweza kupokea tani 532, 854 za mazao tofauti na kusafirisha tani 529,143.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
KAGERA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 KAITABA
-
WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal
Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba
mjini...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment