Habari za Punde

Hata uruke vipi hapa mtafungwa tu...........Mchezaji wa Timu ya Netiboli ya Taifa ya Lethoto, Malaheta Uafealata (katikati) akiruka kuokoa mpira mbele ya Nahodha wa timu ya Tanzania, Jaucyline Sikozi (kulia) wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Kimataifa ya Netiboli, yaliyofunguliwa leo jioni na Mama Salam Kikwete. Tanzania ilishinda mchezo huo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.