Habari za Punde

Hapa hupati kitu wewe hata ukiruka, tumeshafundishwa na mwalimu wetu mdhungu........Mchezaji wa timu ya Taifa ya Netiboli ya Tanzania, Monica Wassy (katikati) akijiandaa kushuti golini kwa wapinzani wake, wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Kimataifa ya netiboli, yaliyoanza jijini Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.