Jamani karibuni kutalii Tanzania lakini si mchezo huu kwani siku hizi nasisi tumepiga hatua........Mama Salma Kikwete (wapili kulia) akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Lethoto, wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo ya Kimataifa ya netiboli kati ya timu hiyo na Tanzania leo jioni. Kulia ni Mama Bayi. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.