Habari za Punde

Mjoma namie nikipata nauli nitakuja kukunong'oneza ili unishirikishe katika Filamu ijayo mjomba.....Kiongozi wa bendi ya B-Band, Banana Zorro (kushoto) akiimba na Mrisho Mpoto, wakati wa uzinduzi wa Filam ya Septemba 11, iliyozinduliwa mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Millenium Tower.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.