MAWAZIRI WA SADC WATEMBELEA BOHARI YA DAWA MSD WAZIRI UMMY AZINDUA KAMPENI YA TOKOMEZA MARALIA

 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, na baadhi ya Mawaziri na Makatibu wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa AFrika, SADC, wakimsikiliza Meneja wa Miradi Msonge, Bill Singano wakati walipotembelea Bohari Dawa MSD, kwa ajili ya kujionea uhifadhi wa dawa na akiba liyopo kama inakidhi mahitaji kwa nchi za SADC, katika ziara yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam, baada ya kikao cha Mawaziri. (Picha na Muhidin Sufiani).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.